Title: KUWA WA KWANZA KUISIKILIZA NA KUIPAKUA NYIMBO MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ - "MDOGO MDOGO"
Author: Unknown
Rating 5 of 5
Des:
Miezi kadhaa iliripotiwa kuvuja kwa wimbo huu ambao uko kitofauti kidogo na aina ya muziki anaoufanya Diamond Platnumz,huu ni umeshaka...
Miezi kadhaa iliripotiwa kuvuja kwa wimbo huu ambao uko kitofauti kidogo na aina ya muziki anaoufanya Diamond Platnumz,huu ni umeshakamilika na ameutoa kwa ajili yako unaitwa "Mdogo Mdogo".
Bonge la wimbo na big up kwan umeonyesha kuwa unaweza miondoko tofauti ya muziki
ReplyDelete