
Soko la Mchikichini Eneo la Karume Katika Wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam Limeungua Moto Usiku wa Kuamkia Leo. Sabababu ya Moto huo hadi sasa haijafahamika. Hii ni hasara Kubwa kwa wafanyabiashara wanaotumia soko hilo katika Kujitafutia ridhiki.
Bonyeza Hapo chini Kuona Video Jinsi Soko la Karume lilivyoungua kwa Moto.
Tags
HABARI ZA KITAIFA