Msanii wa Kizazi kipya Nchini Tanzania Cp au unaweza mwita CPWAA ameweza Kuandika historia katika Mji wa Lindi kwa kukonga nyoyo za mashabiki wake katika Show kubwa na yanguvu aliyoitoa hapo Jana katika Club Kubwa na yakipekee Mkoani Humu "Paric Club", Pia Msanii huyo Clunk Master aliweza kuuza albam yake ambayo iko katika mfumo wa CD kwa bei ya kawaida kabisa ikiwa ni zawadi kwa mashabiki wake waliojitokeza kushuhudia show hiyo ambayo Ilikuwa ni yamfano na haijawahi kutokea Mkoani humo.
Hizi ni Baadhi ya Picha za Matukio yaliyokuwa yakiendelea::
.....HAKIKA KAMA ULIKOSA INABIDI UJILAUMU....
Dah ilitisha sana
ReplyDelete