Athuman Sinani Akiwa na Mke wake Bi Mwajuma Siyyahudin wakiwa katikaNyuso za Furaha mara baada ya kufunga Ndoa.
Ndoa imefanyika katika Kijiji cha Mchinga Jana tarehe 03/05/2014 Saa 7 Mchana Bw Harusi ni Fundi Umeme Pia ni Mpiga Picha Maarufu wa Abdulaziz Video Rec Ambapo Bi Harusi Ni mwalimu wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
Tags
WATU MAARUFU


