Unknown Unknown Author
Title: LUPITA, NDANI YA "WHITE HOUSE CORESPONDENTS PARTY" NA WAIGIZAJI WA "SCANDAL". CHEKI PICHA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya kujishindia Tuzo kibao zikiwemo za OSCARS ambazo ni tuzo kubwa sana duniani. Lupita Nyong’o akiwa ndani ya “People/Time White Ho...
LUPITA NYONG'O
Baada ya kujishindia Tuzo kibao zikiwemo za OSCARS ambazo ni tuzo kubwa sana duniani. Lupita Nyong’o akiwa ndani ya “People/Time White House Correspondents Cocktail Party” inayoandaliwa na Ikulu ya nchini Marekani ambayo huudhuliwa na watu mashuhuri duniani akiwepo President Barack Obama na 1st Lady Michelle Obama na akiwa mmoja wa waalikwa wa party hiyo Miss Nyong’o alionekana kuwa mashuhuri sana baada ya kufatwa na kupiga picha na waigizaji wa tamthilia (Series) kubwa na maarufu sana duniani “SCANDAL” katika sherehe hiyo. 
LUPITA NYONG'O
Lupita akiwa na muonekano wake mahili kama kawaida yake ndani ya white na Silver Dress iliyotengenezwa na “Bibhu Moapatra” huku akimalizia na “Christian Louboutin Shoes” akizungukwa na mastar waliokuwa zaidi ya yeye na sasa yeye ni star kuliko wao. Kwa sasa vyombo vya habari duniani vinasubiri kwa makini sana mwanadada huyu atakuja na nini tena maana baada ya “12 Years of Slave” imehamsha kila alichokua anawaza katika maisha yake na kufungua kila aina ya milango ya mafanikio.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top