PICHA HII YAZUA UTATA... NI DIVA WA CLOUDS FM NA BOB JUNIOR CHEKI HAPA

Picha hii kaiweka Diva katika Ukurasa wake na Kumtag Bob Junior Msanii wa Bongo fleva Nchini Tanzania. Je Hii inaashiria ni Penzi Jipya ama ni kazi tu...?
Diva anatarajia Kuachia Ngoma yake mpya siku ya Leo lakini hakuweka wazi ni Msanii gani kamshirikisha Hivyo kaa mkao wa Kula Kwa ujio Mpya wa Mtangazaji huyo na Kujua kinagaa ubaga Kuhusiana na Hii picha...

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post