KWA WANAO MPONDA PENNY NA HALIMA KIMWANA KUWEKA TATTO YA DIAMOND HII INAKUHUSU
byUnknown-
0
Teamukwelinauwazi Aibuka Huku Instagram na Kuwatetea Penny na Halima Kimwana baada ya Watu fulani fulani kuwasema sana Kuhusu kuchora Tattoo yenye Jina la Diamond...Jisomeee hapa chini:
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...