Wanachuo wanaoishi katika Hosteli za Stella Maris Manispaa ya Mtwara Mikindani wameonyesha hali ya Kuto jiamini katika mambo yao kwa kusadikiwa kujishirikisha katika Mambo ya Kishirikina katika makazi yao hayo.
Katika Pita pita za Mwandishi wetu alikutana na Kituko hichi cha Kukuta Nazi zilizovunjwa zikiwa zimechorwa chorwa maandishi ambayo ni kama ya Kiarabu.
Hata hivyo mwandishi huyo alishindwa kuongea na wahusika kuzungumzia tukio hili kwani walionekana kuwa bize sana.
Kupitia Blog hii tunatoa ushauri kwa wanajamii wote kutokuwa na Iman za Kishirikina katika Mambo yako, Ongeza juhudi katika Jambo lako na Utafanikiwa Tu.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.