JB AZUA UTATA KLABU! SOMA HII...!!!!

BIG brother wa filamu za Bongo, Jacob Steven ‘JB’ amezua utata kwenye klabu mpya ya Princess Cassino iliyopo Posta mpya, Dar kufuatia minong’ono kuwa, yeye ndiye mmiliki wake.Hali hiyo ilijitokeza juzi kati kwenye uzinduzi wa klabu hiyo ambapo msanii huyo ndiye alionekana kuwa mwenyeji kwa kukatiza kila mahali.

BIG brother wa filamu za Bongo, Jacob Steven ‘JB’
“Hivi, JB ndiye mwenye hii klabu nini? Mbona kama mwenyeji kuliko wengine. Anakaribisha wateja, anafuatilia watu kama wanapata huduma sahihi,” alisikika mteja mmoja.JB alilpoulizwa juzi alikiri kuwa mmoja wa waratibu wa mambo ya burudani ya Cassino hiyo lakini si mmiliki.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post