Uwoya amchana live mpenzi wa Flora Mvungi i.e H-baba kwamba hafai katika mapenzi kwa sababu hana stamina katika uwanja wa 6 kwa 6. Flora Mvungi naye akaja juu na kudai kwamba maneno ya Uwoya ni maneno ya mkosaji na akadai zaidi kwamba H-baba hana tatizo katika mapenzi na yuko fiti ile mbaya.
Wakati malumbano yakiendelea,dada mmoja akapiga, akakataa kutaja jina lake lakini naye akazidi kuchagiza kwamba H-baba si lolote si chochote katika ulingo wa ma-lovey dovey,ana mbwembwe za kukata viuno jukwaani tu.Haya ndio mapenzi ya ma-star wa ki-bongo
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.