Unknown Unknown Author
Title: UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 15/02/2014.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
[Mikoa ya Lindi, Morogoro( Kusini) na Mtwara]: [Mkoa wa Ruvuma]:   Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipi...

clip_image001

[Mikoa ya Lindi, Morogoro( Kusini) na Mtwara]:
[Mkoa wa Ruvuma]:
 
Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya  jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara na Mara]:
[Mikoa ya Singida, Iringa,  Mbeya na Rukwa]:
[Mikoa ya Dodoma Mara, Kigoma na Tabora]:
 
 
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua
[Mikoa ya Kagera, Mwanza na Shinyanga]:
Hali ya Mawingu kiasi na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua
[Mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro( Kaskazini)]:
 
 
Hali ya Mawingu kiasi na  mvua katika maeneo machache na vipindi vya  jua

TAHADHARI:

  1. UPEPO MKALI NA MAWIMBI MAKUBWA YANATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MWAMBAO WOTE WA PWANI (LINDI, MTWARA, TANGA, PWANI, DAR ES SALAAM PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).
  1. VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA IRINGA, LINDI, MBEYA, MOROGORO KUSINI, MTWARA, RUKWA NA RUVUMA.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
27oC 
18C 
12:42
12:53
D'SALAAM
33°C
25°C
12:28
12:46
DODOMA
29°C
20°C
12:42
01:00
KIGOMA 
31°C
22°C
01:07
01:22
MBEYA
25°C
15°C
12:49
01:11
MWANZA
27°C
17°C
12:57
01:07
TABORA
29°C
19°C
12:55
01:10
TANGA
31°C
23°C
12:30
12:45
ZANZIBAR
32°C
23°C
12:28
12:46

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa; kutoka Kaskazini-Mashariki kwa Pwani ya

Kaskazini na kutoka Kaskazini-Magharibi kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Jumatatu: 17/02/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 15/02/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top