HII NDIO ZAWADI YA VALENTINE ALIYOPEWA KIM K NA KANYE WASTE, ICHEKI HAPA

kim and kanyeMitandao ya Marekani imesema hii zawadi ni ya kiwango cha chini sana na hawakutegemea eti Kanye West kutoa zawadi ya kawaida kama hii.

Kim Kardashian kapewa mauwa ya waridi 1000 kama zawadi yake ya Valentine's na hakuchelewa baada ya saa chache aliweka picha akiwa na mauwa hayo akiwa amelala kwenye kochi.

Kanye West hakuwa Karibu na Kim wakati wa Valentine sababu alikuwa na show mji mwingine.

Hii ndio picha yenyewe ya KIm aliyoiweka Instagramkim kardshan

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post