Kifaaa maalum cha kumzuia mwanaume kutofanya mapenzi kimevumbuliwa, na hii ni katika kukabiliana na wanaume waliooa wasiweze kusaliti ndoa zao na hata kwa ajili ya vijana wanaowasaliti wapenzi wao.
Kwa kutumia kifaa hiki, wake wanaweza kufungia maumbile ya waume zao au wapenzi ili kuwazuia wasisaliti.
Kifaa hiko kina uwezo wa kuwazuia wanaume kuweza kugusa sehemu zao za siri kwa ajili ya muamko wa kimapenzi. Kifaa hicho kinampa haki mtu mwenye funguo kumiliki kufanikishwa kwa tendo la ndoa kwa wahusika wawili wanokutana kwa kumzuia aliyevaa kushindwa kugusa maumbile yake katika maisha yake yote.
lakini wagunduzi hawa hawajatenda haki kwa mwanaume sasa je kama mama ndio msaliti wa ndoa au mapenzi Kwa wale ambao bado hawajaoana kifaa chao kiko wapi? hakika inabidi wasugue bongo haraka ili ngoma iwe droo……
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.