MTOTO WA MWANASAIASA MKONGWE NA MBUNGE AFUMANIWA NA MKE WA RAFIKI YAKE...PICHA ZA AIBU SANA

clip_image001Blog hii imenasa picha za fumanizi zinazomuhusu mtoto wa mwanasiasa mmoja maarufuy nchini "Jina Linahifadhiwa" ambae pia ni mbunge wa jimbo moja lililopo kwenye mikoa ya katikati ya nchi yetu.

Mtoto huyo ambae nae jina linaminywa alikutwa na tukio hilo la kufedhehesha hivi karibu Mkoani Arusha kwenye nyumba moja ya kulala wageni ijulikanayo kama 4 WAYS iliyopo maneo ya Arusha mjini.

clip_image001Habari zaidi juu ya tukio hilo zinasema mvulana huyo ambae alikuwa kwenye semina za kisiasa zinazoendelea mkoani humo na
huyo mke wa mtu nae alikuwa ni mmoja wa wanasemina huku mumewe akimuacha Dar, lakini hata hivyo wakati mke huyo akiamini kuwa husband wake amemuacha Dar kumbe jama yupo mkoani humo

Hizi ni Picha zote za Tukio Hilo: BOFYA HAPA KAMA +21

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post