Unknown Unknown Author
Title: TAARIFA YA MSIBA: ANNA JOHN MBONDE AMEFARIKI DUNIA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Familia ya Mkuu wa Wilaya Mstaafu wa muleba, Iringa  na njombe, ndugu John Pantaleon Mbonde wa Ilala Sharif Shamba Dar es Salaam anasikitik...

clip_image003Familia ya Mkuu wa Wilaya Mstaafu wa muleba, Iringa  na njombe, ndugu John Pantaleon Mbonde wa Ilala Sharif Shamba Dar es Salaam anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mpendwa Anna Mbonde.

Marehemu alifikwa na mauti tarehe 5/1/2014 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa. Marehemu alisumbuliwa na ugonjwa wa seli mundu (yaani sickle cell disease) pia alikuwa na matatizo ya figo kwa muda wa mwaka mmoja uliopita.

Mazishi yalifanyika juzi 7/1/2014 kwenye makaburi ya Kinondoni. Familia inatoa shukrani za dhati kwa wote waliojitokeza katika shughuli nzima ya mazishi.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA. JINA LA BWANA LIHIMIDIWE. AMINA

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top