Jokate Mwegelo anatarajia kutisha kwa mara nyingine kwenye filamu pale filamu mpya aliyoigiza na JB, Richie na Irene Uwoya iitwayo ‘Mikono Salama’ itakapotoka mwaka huu. Lakini huo ni mwanzo tu wa miradi yake mipya ya filamu kwakuwa mwaka 2014 unaweza kuwa mzuri zaidi kwake kwenye sekta hiyo.“I got a good deal, nitaitangaza soon,” Jokate aliiambia Bongo5 kuelezea mipango ya filamu zake za mwaka huu.
“Napitia tu sasa hivi script so I am excited.”
Kuhusiana na muziki, mrembo huyo alisema amekuwa akirekodi nyimbo kadhaa. “I have songs out there, I am just waiting kuzitoa na I will pull a ‘Beyonce’ cause nilihype sasa ‘Kaka Dada’ that was a good thing, I loved how I used social media, sasa hivi ntafanya kitu tofauti kidogo. So I am not telling anyboy lini ama how ama nimefanya na nani ama ni muziki wa aina gani.”
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.