MCHEZA FILAMU THE ROCK AMNUNULIA MFANYAKAZI WAKE WA NDANI GARI AINA YA ESPIRANZA HII HAPA..

clip_image002Msanii wa Filam nchini Marekani ambaye amecheza Filam ya THE ROCK amechukua uamuzi wa kumnunulia Gari Mfanyakazi wake wa ndani aina ya Espiranza. kama uwaonavyo kwenye picha hapo juu.

Je Bongo Bongo yawezekana?

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post