Huddah ameamua kuutangazia umma kuwa yeye anapesa mingi hadi kufikia kuzimwaga ndani ya gari lake kama inavyoonekana hapo chini katika picha. Je hii inaweza kuwa kijembe kwa PREZZO EX-BOYFREND WAKE? ambaye kwa sasa yuko kwenye wakati mgumu baada ya kupewa vijembe vya kuwa yeye hana pesa kama anavyojinasibu…Vijembe hivyo vikipigwa na Aliyekuwa mpenzi wake ChaggaBarbie
Tags
WATU MAARUFU