Ashant ni mwanamuziki wa kike anayefanya muziki katika miondoko ya RnB nchini Marekani. Hivi kaibuni ametupia picha hizi katika mtandao wa Instagram na Kuleta Utata kwani zinaonyesha sehemu ya mwili wake ukiwa Mtupu.
Labda naye anafuata nyendo za Rihanna..Mimi na wewe hatujui..
Tags
HABARI ZA WASANII