MAJANGA!!!!!!!!!! MONALISA HOFU YA JUJU

clip_image001Yvone Cherry ‘Monalisa’.

STAA wa filamu Bongo, Yvone Cherry ‘Monalisa’ amesema anaogopa kuweka wazi mambo yake kwa kuhofia kupigwa juju hivyo anaishi kwa siri.Akipiga stori na paparazi wetu, Monalisa alisema amejifunza maisha ya usiri na ndiyo maana huwa haaniki hata tarehe, mwezi au mwaka wa kuzaliwa kwani watu wabaya hutumia nafasi hiyo kukuangamiza.

“Asikudanganye mtu ukishaanika tu hivyo vitu mtu akajua na majina yako yote kuna nini tena hapo zaidi ya kukufanyia ndumba uharibikiwe anavyojisikia yeye, huwa inaniwia vigumu sana kuweka hadharani vitu vyangu,” alisema Monalisa.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post