HUKUMU YA ZITTO: Kwa sasa bado hukumu haijaanza kusikilizwa lakini kuna vurugu nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kati ya kikundi cha Zitto na kile kinachompinga ambavyo vinarushiana mawe na polisi wanajaribu kukabiliana nao!
UPDATES::3:07PM
Kwa sasa kuna hali ya utulivu baada ya polisi kufanikiwa kukabiliana na makundi mawili yaliyokuwa yakirushiana mawe nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Anayesubiriwa muda huu ni jaji afike ili hukumu iendelee!
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.