Unknown Unknown Author
Title: MABINGWA MAN UNITED WAZIDI KUPANDA KATIKA MSIMAMO WA LIGI ENGLAND
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
NORWICH 0 MAN UNITED 1 Danny Welbeck, akitokea Benchi na kuingizwa Kipindi cha Pili, aliifungia Man United Bao 1 na la ushindi huko Carrow R...

NORWICH 0 MAN UNITED 1WALBECKDanny Welbeck, akitokea Benchi na kuingizwa Kipindi cha Pili, aliifungia Man United Bao 1 na la ushindi huko Carrow Road na kuitungua Norwich City Bao 1-0.

Meneja wa Man United, David Moyes, leo alibadilisha Wachezaji watano toka Kikosi kilichoifunga Hull City 3-2 Juzi kwa kuwachezesha Nemanja Vidic, Michael Carrick, ambae hii ilikuwa Mechi yake ya kwanza tangu Oktoba, Ryan Giggs, Shinji Kagawa na Javier Hernandez huku Wayne Rooney akikosekana kabisa.

Huu ni ushindi wa nne mfululizo kwenye Ligi na umewapaisha hadi Nafasi ya 6 kwenye Msimamo.

VIKOSI: Norwich: Ruddy, Martin, Ryan Bennett, Bassong, Olsson, Johnson, Fer, Snodgrass, Hoolahan, Redmond, Hooper. Subs: Whittaker, van Wolfswinkel, Bunn, Elmander, Garrido, Becchio, Murphy.

Man United: De Gea, Smalling, Evans, Vidic, Evra, Young, Cleverley, Carrick, Giggs, Kagawa, Hernandez. Subs: Anderson, Lindegaard, Welbeck, Fabio Da Silva, Fletcher, Zaha, Januzaj.

MAN CITY 1 CRYSTAL PALACE 0 DZEKOEdin Dzeko aliifungia Man City Bao moja na pekee walipocheza na Crystal Palace Uwanjani Etihad na kuwafanya wachukue uongozi wa Ligi wakiwa Pointi 2 mbele ya Arsenal.

VIKOSI: Man City: Hart, Boyata, Kompany, Nastasic, Clichy, Fernandinho, Javi Garcia, Jesus Navas, Silva, Milner, Dzeko

Akiba: Lescott, Nasri, Negredo, Kolarov, Rodwell, Pantilimon, Toure.

Crystal Palace: Speroni, Delaney, Mariappa, Gabbidon, Parr, Puncheon, Ward, Bannan, Jedinak, Bolasie, Jerome

Akiba: Campana, Phillips, Gayle, Jonathan Williams, Moxey, Chamakh, Price.

Refa: Andre Marriner

ASTON VILLA 1 SWANSEA 1ROLAND

Aston Villa leo wamemaliza wimbi lao la kufungwa Mechi 4 mfululizo za Ligi kwa kutoka Sare ya 1-1 na Swansea City Uwanjani Villa Park.

AGBONLAHORVilla ndio waliotangulia kufunga kwa Bao la Gabriel Agbonlahor la Dakika ya 7 na Swansea kusawazisha katika Dakika ya 36 kwa Bao la Roland Lamah.

VIKOSI: Aston Villa: Guzan, Lowton, Baker, Clark, Luna, Bacuna, Westwood, Delph, Weimann, Agbonlahor, Tonev.

Akiba: El Ahmadi, Helenius, Albrighton, Steer, Sylla, Bowery, Kozak.

Swansea: Tremmel, Tiendalli, Chico, Williams, Ben Davies, de Guzman, Canas, Hernandez, Shelvey, Lamah, Bony.

Akiba: Amat, Britton, Routledge, Rangel, Pozuelo, Vazquez, Zabret.

Refa: Roger East

HULL 6 FULHAM 0TOM HUDDLESTONE

Hull City, wakiwa kwao KC Stadium, leo wameifumua Fulham Bao 6-0 huku Bao zote zikifungwa Kipindi cha Pili.

Bao za Hull City zilifungwa na Ahmed Elmohamady, Robert Koren, Bao 2, George Boyd, Huddlestone na Matty Fryatt.

VIKOSI: Hull: McGregor, Rosenior, Chester, Davies, Figueroa, Elmohamady, Livermore, Koren, Huddlestone, Boyd, Sagbo

Akiba: Bruce, Meyler, Graham, Fryatt, McShane, Harper, Faye.

Fulham: Stockdale, Zverotic, Hughes, Amorebieta, Riise, Sidwell, Karagounis, Dejagah, Kasami, Ruiz, Rodallega

Akiba: Kacaniklic, Richardson, Boateng, Riether, David, Bent, Bettinelli.

MSIMAMO:

NA

TIMU

P

GD

PTS

1

Man City

19

33

41

2

Arsenal

18

18

39

3

Chelsea

18

15

37

4

Liverpool

18

22

36

5

Everton

18

12

34

6

Man United

19

10

34

7

Newcastle

18

6

33

8

Tottenham

18

-5

31

9

Southampton

18

7

27

10

Hull

19

-1

23

11

Swansea

19

-1

21

12

Stoke

18

-8

21

13

Aston Villa

19

-7

20

14

Norwich

19

-16

19

15

West Brom

19

-5

18

16

Cardiff

18

-15

17

17

Crystal Palace

19

-16

16

18

Fulham

19

-22

16

19

West Ham

19

-10

15

20

Sunderland

18

-17

13

CREDIT TO SOKA IN BONGO

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top