CLOUDS MEDIA YACHAPWA 3-1 NA TIMU YA MAKIPA WANAOCHEZA LIGI KUU

clip_image001Mchezajki swa timu ya Makipa, Ivo Mapunda akisalimiana na Shaffih Dauda.

Kikosi cha Clouds Media Group

Timu ya Makipa wa Ligi Kuu wakiwa katika picha ya pamoja.

Mchezaji wa timu ya Makipa Shaban Kado akimiliki mpira huku Bakari Masuli (kulia) akijaribu kumzuia.

"Huchukui mpira hapa,mwenzio nilianzia huku kabla ya kuwa nyanda"Ivo Mapunda huo akifanya yake.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post