Unknown Unknown Author
Title: KINANA NA UJUMBE WAKE WAPOKELEWA KWA SHANGWE WILAYANI MAKETE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Gari lililombeba katibu wa CCM Abdulrahan Kinana likiwasili kijiji cha Mfumbi wilayani Makete, Njombe akitokea mkoani Mbeya Katibu wa CCM...

clip_image002Gari lililombeba katibu wa CCM Abdulrahan Kinana likiwasili kijiji cha Mfumbi wilayani Makete, Njombe akitokea mkoani Mbeya

clip_image002[5]Katibu wa CCM Ndugu Kinana akisalimiana na mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro katika eneo la Mapokezi kata ya Mfumbi wilayani Makete

clip_image002[7]Mkuu wa wilaya ya Makete Mh Josephine Matiro(kulia) akisalimiana na katibu wa NEC siasa na uhusiano wa kimataifa na mbunge mteule Dkt. Asharose Migiro wakati viongozi hao walipotembelea kikazi wilaya ya Makete mkoani Njombe hii leo, nyuma ni Katibu NEC itikadi na uenezi Nape Nnauye

clip_image002[9]Katibu mkuu wa CCM Ndg Kinana akivishwa skafu mara baada ya kupokelewa wilayani Makete

clip_image002[11]Sehemu ya umati wa watu waliofurika kumpokea Katibu mkuu wa CCM ndg Kinana na ujumbe wake katika kata ya Mfumbi wilaya ya Makete

clip_image002[13]Katibu wa NEC siasa na uhusiano wa kimataifa Dkt Asharose Migiro akizungumza na wakazi wa Makete waliofika kumpokea

clip_image002[15]Katibu wa NEC itikadi na uenezi Nape Nnauye akimwaga maneno matamu kwa wanamakete waliofika Mfumbi kumpokea

clip_image002[17]Katibu mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana akitoa pongezi zake kwa mapokezi mazuri aliyoyapata hii leo mara baada ya kuingia ardhi hii ya Makete.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top