Darasa, Diamond, Roma & Young D ndani ya “Njia yetu ni Moja”

image

Sisi sote ni binaadam na tunaamini kua leo kwao lakini wenda kesho ikawa kwetu kwakua Wote “Njia yetu ni Moja”…. Kwa kulithamini na kuliheshimu hilo tukiwa kama wasanii tumeona nivizuri kutoa Nyimbo hii itwayo “Njia yetu ni Moja” ikiwa kama moja ya mchango wetu kuungana na watanzania wenzetu wote kuhuzunika kwa janga/msiba mkubwa uliolokumba taifa letu.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post