Unknown Unknown Author
Title: HUDDAH ACHEMKA KAMA IRENE UWOYA, TUACHE KUKURUPUKA…!!!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Yule mdada wa Kenya Huddah  ambae alikuwa na bifu zito na atangazaji wa Clouds FM Diva juu ya mwimbaji muziki Prezzo wiki hii ameingia chaka...

clip_image001Yule mdada wa Kenya Huddah  ambae alikuwa na bifu zito na atangazaji wa Clouds FM Diva juu ya mwimbaji muziki Prezzo wiki hii ameingia chaka ambalo yule dada wetu wa hapa Bongo ambaye kwa umbo lake amekuwa maarufu sana kwenye luninga zetu Irene Uwoya.

Chaka aliloingia Irene Uwoya ni la kuweka picha ya Vin Diesel badala ya marehemu Paul Walker na kumuandika R.I.P (ningekuwa mimi Vin Diesel ningemshitaki), Uwoya alipata cha mtema kuni baada ya mashabiki lukuki kumkandia nayeye baadae kujibu majibu ya ch**ni ya eti kwamba

“Vin Diesel ni rafiki mzuri sana wa marehemu Paul Walker ndio maana nilisema vile”

Sasa jamaa mmoja akamuuliza kwenye comments “Kipindi alipofariki baba wa Taifa letu Nyerere je ungeweka picha ya mzee wa ‘Ruksa’ kwakuwa walikuwa marafiki? ”.

Tuyaache ya Uwoya cuz pale alibugi, sasa Huddah nae ameweka picha ya msanii mwingine kabisa aitwae Paul Wall badala ya Paul Walker na kuandika RIP Paul Walker kwenye tweet yake.

huddah bloneSasa kilichomfuata kutoka kwa mashabiki sisi tusiewe wambea sana kicheck hapo

Kichapo kikaanzaaa!

RIP Paul Walker! Real baller! No fake life ,no poser ,this is so sad!

Here are some of the reactions to this epic fail
PWEETY HEINZ ‏@pweetyheinz 7@HUDDAHMONROE Just a Q… You don’t know the difference between Paul Walker and Paul Wall???? Hahahaha
Rudende ‏

@rude_end 3h@HUDDAHMONROE is a special kind of stupid. Why lie?
chizi_wa_mtaa ‏@iGurujustus 8hpunguza bangi RT @HUDDAHMONROE: Until Paul Walker actually tweets from his account that he is dead, I’m not believing it!

Rashad ‏@ishrashad Yes sir, will that be the “For dummies” edition or the newly introduced “Huddah Monroe” eValmy Kanyiri ‏@valmyK “Too blonde for life!!!”RT @HUDDAHMONROE: RIP Paul Walker! Real baller! No fake life ,no poser ,this is so sad!

Ati Huddah’s IQ sits comfortably at room temperature? Laawd!! – @Kevo0h

Huddah shld get a laptop pamoja wit the class ones nxt year….bck to basics at ths rate…….. –
@lazlazlo HUDDAH say when she found out she was pregnant? “Are you sure it’s mine

@RkoDominic    So according to huddah paul wall is dead and addis ababa is a country??

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top