WASHIRIKI WA TANZANIA TOP MODEL 2013 WAINGIA KAMBINI JB BELMONT HOTEL
byUnknown-
0
Washiriki wanaowania taji Tanzania Top model wameingia kambini leo kwa muda wa mwezi mmoja ambapo kambi hiyo imeanza katika Hotel ya JB Belmont kisha kuhamia katika hotel tofautitofauti.
Jumla ya washiriki 20 wameingia kambini hapo wakitokea mikoa tofautitofauti ambapo ulifanyika usaili kuwapa wanamitindo hao.
Mwandaaji wa Tanzania Top Model Jackson Kalikumtima akiongea na wanahabari
Baadhi ya washiriki wa shindano hilo wakiwa wamewasili kambini
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...