Bongo sasa tumepiga hatua kubwa si kiuchumi tu lahasha katika nyanja nyingi sasa tunasogoe sogea hivi kama waliotangulia tunawaita wazungu, Ukiangalia Picha hii kwa haraka haraka unaweza kusema ni Rihhana anaeonekana katika picha kumbe si yeye bali ni msanii wa hapa hapa bongo unaweza kumuita Vanesa Mdee.
Teknolojia ya Picha nayo inaendelea kukua ukiangalia picha hii utakubaliana nami kuwa mpiga picha alitumia elimu yake katika kutoa picha nzuri kama hii pia uchaguaji wa location na hapa Mpigwaji pia alitumia mwili wake vizuri kuipenezesha picha
HAKIKA TUTAFIKA HUKO WALIKO WENZETU, TUENDELEE KUPATA ELIMU KATIKA NYANJA MBALIMBALI ILI TUONDOKANE NA UKOLONI MAMBO LEO
Tags
HABARI ZA WASANII