PATA MUDA WA KUIONA STUDIO MPYA YA CLOUDS FM HAPA

clip_image002Yule kamanda anayetoa kibali kwenye spika za radio yako kwa kila mwanafamilia wa Clouds FM anayeitwa 88.5 sasa ameanza rasmi kurusha matangazo katika studio mpya ya kisasa yenye kuvutia kwa kila mtu,ina sehemu ya vinjwa na mitambo ya kisasa kabisa.
Tazama hizi baadhi za picha hapa

clip_image002[5]

clip_image002[7]

clip_image002[9]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post