Finally ile video iliyomletea utata rapper Ney Wa Mitego mpaka akawekwa ndani na polisi imeshakamilika … na imetoka rasmi ‘SALAMU ZAO’ Tazama video hiyo mpya ya Ney akimshirikisha ‘Neiba’ hapa …
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...