ANGALIA PICHA JINSI BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI LILIVYO TEKETEA KWA MOTO

clip_image002[9]Bweni la wanafunzi wa kike katika shule ya Sekondari ya Lupata wakiwa wanashuhudia Jinsi bweni hilo likiwaka moto kwa kasi huku wengine wakiwa wanaendelea kuzima.

clip_image002[7]Mwenye Ndoo Hayaaa... Mwenye Mchanga hayaa .. walio simama hayaa.. hii ilikuwa ni kazi ya kufanya uokozi wa Bweni hilo ...

clip_image002[5]Hivi ndivyo Moto ulivyokuwa unazidi kuwaka huku wakifanya juhudi za kuzima moto huo, ambao ulikuwa unawaka kwa kasi.

clip_image002Vijana wakiwa wanafanikiwa zoezi la kuzima moto huo huku kila mmoja akiwa anaongeza juhudi za kuzima Bweni hilo.

Tukio Hili la kusikitisha lilitokea tarehe 29.10.2013 Katika Halmashauri mpya ya Busikelo Wilayani Rungwe, ambapo Bweni hilo liliwaka Moto mkubwa na kusababisha uharibifu wa Mali za wanafunzi na shule kwa ujumla .

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post