Picha na Abdulaziz Video Lindi
Hivi Ni kweli hili shimo Linawafurahisha?Tena lipo Soko kuu Manispaa
ya Lindi,Nalo linahitaji tenda Bodi kwa ajili ya kuliziba.....Nani anawajibika Tanroads,TTCL au Manispaa?Limeshaleta ajali za pikipiki baiskeli na Juzi tu Mbunge mstaafu aliuvaa mkenge hapo ila gari lake mmmmmhhh....
Njia kuu ya kwenda Hospital ya mkoa, Zimamoto na kwenye Majumba ya wakumbwa wa wilaya na mkoa...Je mpaka tuseme ???
Tags
HABARI ZA KITAIFA