CLUB YA MANCHESTER UNITED KUACHIA MOVIE YAO HIVI KARIBUNI

clip_image002

Mastaa wakali wa mpira wa miguu wa Manchester United wamehusishwa katika utengenezaji wa sinema (Documentary Film) mpya itakayokuwa ikielezaea mafanikio ya academy ya timu ya Manchester United kuanzia mwaka 1992 mpaka sasa.

Ndani ya sinema hiyo itawahusisha mastaa kama wakina:- David Beckham, Ryan Giggs, Nicky Butt, Gary Phil Neville na Paul Scholes.

Movie hii ya Class of 1992, Itaachiwa rasmi December 1 na pia itahusisha interviews kutoka kwa waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair, Mchezaji mpira wa Manchester wa zamani aliyekua akiongoza kwa vituko Eric Cantona na mkongwe Zinedine Zidane.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post