Sehemu kipande cha barabara kinachojengwa kwa kiwango cha lami wilayani Tandahimba mkoani Mtwara, kama kionekavyo mara baada ya kunaswa na camera ya Globu ya Jamii mapema leo mchana.
Basi la abiria likitokea Wilayani Tandahimba kuelekea Masasi mapema leo mchana
Mkeka umekolea safi kabisa ndani ya wilaya ya Tandahimba.
Mandhari safi kabisa ndani ya Wilaya ya Tandahimba huku sehemu kubwa ya barabara ikiwa na kiwango cha lami, kurahisisha usafiri kwa wakazi wa Wilaya hiyo na sehemu nyingine.
PICHA KWA HISANI YA MICHUZI BLOG
Tags
HABARI ZA KITAIFA