WATANZANIA WAONESHA WALIVYO WACHAFU…UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR

clip_image002

Watanzania tumeshindwa kuwa wastarabu tuwapo nje au ndani ya nyumba zetu, hizi ni picha ambazo zimechukulewa ndani ya vyoo vya uwanja wa taifa wa mpira wa miguu hapa nchini maarufu kama Benjamini william Mkapa National Stadium,

clip_image002[5]

Hii ni hali ya kusikitisha kabisa inaonesha ni jinsi gani tusivyoweza kukitunza kitu kizuri tulichonacho, Je hadi hili mtu unataka uwekewe askari wa kukuchunga uendapo maliwatoni? hakika tumeonyesha tabia ya ajabu kabisa katika jamii inayotuzunguka

clip_image002[7]

Watanzania Tubadilike…

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post