PROF. JAY AKABIDHIWA BARCODE YA STUDIO YAKE YA MWANALIZOMBE

clip_image002

Kampuni ya GS1 TANZANIA leo imeweza kumkabidhi PROF JAY msanii wa Hip Hop nchini na mkongwe katika mziki huu wa nyumbani BARCODE ili kuweza kutanua zaidi soko lake la biashara.

clip_image002[6]

Prof Jay mbali na uwimbaji pia anamiliki studio yake mpya inayoitwa MWANALIZOMBE pamoja na saloon ya kiume ya kunyoa.

clip_image002[8]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post