“UZURI SHARTI UZURIKE” CHEKI RIHHANA ALIVYOKUWA AKIUGULIA MAUMIVU WAKATI WA UCHORAJI TATTOO

clip_image001Hapo jana mchoraji nguli wa michoro ya tattoo toka nchini New Zealand aitwaye Inia Taylor aliziweka picha zinazomuonyesha Rihanna akiwa anachorwa tattoo za kudumu za kiasili zinazojulikana kama Maori tattoo kwenye mkono wake wa kulia.clip_image001Maori tattoo ni moja kati ya tattoo ambazo huwa zinauma sana pindi zinapokuwa zinachorwa kwenye ngozi, sababu zenyewe huwa hazitumii sindano zilizo zoeleka, aina hii ya tattoo huwa zinatumia wino maalumu na nakshi nyingine.

Tofauti na tattooo za kisasa zilizozoeleka kukaa juu ya ngozi zenyewe huwacha ngozi ikiwa na alama ya kudumu.clip_image001[6]Mcheki Rihanna akiugulia maumivu.....

Alichora tattoo hizo akiwa New Zealand baada ya kumaliza ziara yake ya kimuziki anyoizunguka Dunia.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post