TAZAMA FILAMU YA PORN STAR MANAIKI SANGA INAYOGOMBANIWA KAMA NJUGU NA MAKAMPUNI!

clip_image001Filamu ya msanii Manaiki Sanga ujulikanayo kwa jina la NGEMA imeingia kwenye mgogoro mzito kwa makampuni ya usambazaji ya filamu hiyo kwa huku kila kampuni inahitaji kibari cha kusambaza kwa kupanda dau.

Habari za uhakika zilizoshuka mezani kwa xdeejayz toka kwa muandaaji wa filamu aliyejitambulisha kwa jina la Pete kuwa filamu ya Manaiki Sanga aliyoipa jina la Ngema imekuwa gumnzo kubwa nchini Tanzania na huenda ikavunja rekodi kubwa na kuwa filamu bora ikayouza nakala nyingi zaidi kuliko filamu nyingine yeyote.

Kampuni zilizoingia kwenye patashika hiyo huku kila kampuni ikihitaji kusambaza filamu hiyo ni Steps, Splash, Pilipili, Leo Media.

Maelfu ya watanzania wanaisubiri filamu hiyo ili kuona kitu gani alichokifanya Manaiki ambae amejizolea umaarufu mkubwa kwa kupiga picha za uchi na wanawake zaidi ya 400 kisha picha hizo kusambaa mitandaoni

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post