Unknown Unknown Author
Title: ELIZABETH MICHAEL(LULU) AWAPIGA KIJEMBE WABAYA WAKE KWA KUCHORA TATOO HII HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Elizabeth Michael almaarufu kwa jina la Lulu jana kupitia mtandao wa Instagram ame-share picha na mashabiki inayoonyesha tattoo yake nyingin...

clip_image001Elizabeth Michael almaarufu kwa jina la Lulu jana kupitia mtandao wa Instagram ame-share picha na mashabiki inayoonyesha tattoo yake nyingine iliyochorwa juu kidogo ya kifua iliyoandikwa 'only God can judge me'.
hakuishia kushare picha ujumbe mzito wenye maneno
matamu ulifuata  kwenye picha hiyo.
hotlulumichael
”Kumekuwa na kawaida ya watu kuongea na kuhukumu wenzao bila ya kujua wanachokiongelea pengine!!Kwa upeo Wangu mdogo nafahamu sisi wote ni binadamu na tunamtegemea mtu mmoja MWENYEZI MUNGU

...lakini cha kushangaza Kuwa watu wako busy kuhukumu wenzao kuliko hata huyo mwenye cheo chake...Hivi Mungu angetaka kufanya Kama wanadamu tunavyofanya kungeangaliana kweli....Nadhani umefika wakati wa kumuachia mwenye majukumu yake kufanya kazi...tuache kujipa u busy usio wa lazma....!!!

ONLY GOD CAN JUDGE ME....Gud nyt fam��

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top