ROBIN VAN PERSIE AFURAHIA KUKUTANA NA HASHEEM THABEET WA TANZANIA

clip_image001Robin van Persie akiwa na Hashim Thabeet

Haijalishi kuwa anapokea mshahara wa £12.2 milioni kwa mwaka akiwa na Manchester United, lakini Robin van Persie akikutana na Hasheem Thabeet, lazima aonekana mbilikimo. Na pia haijalishi kuwa, Van Persie ni mshambuliaji kwenye timu bora kabisa duniani, lakini akikutana na mchezaji mrefu zaidi kwenye ligi ya NBA, Hasheem Thabeet wa Tanzania, lazima apost picha Instagram na kuonesha kufurahi kwake.

Wamarekani wanasema, real recognize real na ndio maana Van Persie amepost picha aliyopiga na Hasheem na kuandika:
Was nice to meet big man Hasheem Thabeet.

And by the way… kama picha hii angepost Hasheem, isingekuwa big deal sana sio? Lakini Van kuipost…. man that’s something else… billionaire’s club..
“Obama spoke about him.. Now Van Persie… Hongera sana Hasheem,”

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post