JENIFER LOPEZ KUIGIZA KAMA MAMA WA RIHANA KATIKA MOVIE MPYA

clip_image002Superstar huyo ataingiza sauti kwenye filamu hiyo kama mama wa Rihanna ambapo imetokana na kitabu cha “The True Meaning of Smekday,” cha mwaka 2011.
Home itaingia sokoni November 2014.

DreamWorks iliyoanzishwa na Steven Spielberg magwiji wa filamu za animation ambapo kazi zao ni pamoja na Shrek, Madagascar, Kung Fu Panda, Monsters vs. Aliens na and How to Train Your Dragon.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post