RAY C NAE AANZA KUACHIA PICHA CHAFU MTANDAONI, FANS WAKE WAMSHUSHIA MINENO

clip_image001[9]Ikiwa ni siku kadhaa tangu Msanii Ray C kusema kuwa ameachana na dawa za kulevya na kua amebatizwa na kua mtu mwema ambaye ameachana na vitendo vya kimaovu, Lakini msanii huyo alipost Picha ya Mapaja yake katika mtandao wa kijamii wa Instagram  siku tatu zilizopita ambayo ilipelekea mashabiki wake kuchukizwa na picha ya mwana dada huyo clip_image001clip_image001[7]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post