PESA INAONGEA: CHEKI GARI YA YUSUPH BAKHRESA ILIYOGHARIMU DOLA 500,000

clip_image002Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England, imeonekana leo Dar es Salaam, lakini ni mali ya Yussuf Bakhresa, mtoto wa bilionea Mtanzania, Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa. Vyanzo vimesema Yussuf alitoa oda maalum kutengenezewa gari hili na thamani yake jumla si chini ya dola za Kimarekani 500,000 sawa na shiingi milioni 805 za kibongo.clip_image001Hii hapa mali ya Yussuf BakhresaHuyu jamaa ndiye anayeendesha gari la hili la mtoto wa BakhresaAngalia alivyotulia ndani ya mzigo wa dola 500,000Ni oda maalum kwa ajili ya Yussuf Bakhresa Mwingine mwenye gari kama hii Dar es Salaam nani? Kutoka Manchester hadi Dar es Salaam

SOURCE: BIN ZUBEIRY

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post