C.E.O wa Endless Fame Wema Sepetu kupitia ukuarasa wake wa twitter amesema kwamba reality tv show yake itaanza kurushwa hewani kwanzia tarehe 16 mwezi huu kupitia station ya EATV.
Kwenye hii reality tv show utapata kuona maisha ya mwanadada huyu na jinsi anavyokabiliana na changamoto katika maisha yake.Kaa mkao wa kula Bonge la Show laja kama ujuavyo wazee wa Tinga Namba Moja la Vijana Huwaga hawakosei……..
Tags
HABARI ZA WASANII