BREAKING NEWS: VIJANA 11 WA MTWARA WAKAMATWA WAKIWA NA SILAHA ZA KIVITA NA CD ZA AL-SHABAAB

clip_image001[5](Picha hii haiusiani na habari hii)
Vijana 11 wanadaiwa kukamatwa wakiwa wanafanya mazoezi ndani ya msitu wa Makolionga mkoani Mtwara, huku wakiwa na CD 25 zenye mafunzo mbalimbali toka Kundi la Al Qaeda na Al Shabaab.
Aidha, wanadaiwa kukutwa na zana tofauti za zana hatari pamoja na vyakula vya aina mbalimbali!
SOURCE: Breaking News RADIO 1 STEREO

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post