Hit maker wa Song ya “Nikifa Kesho”, na “Number One” Diamond Platnumz anatarajia kuondoka leo nchini kuelekea china ambako atafanya show huko katika mji wa Guangzhou. Msanii huyo kwa sasa anamuonekano mpya katika mikono yake ambayo inaonesha Kachora tatoo Bado haijafahamika kwa ni neno gani limeandikwa katika tatoo hiyo na inamaanisha nini kwake…….
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.