WOLPER BAADA YA KUPONA MALARIA ARUDI KULA BATA KAMA KAWA

clip_image003clip_image003[6]

Baada ya Kupata Nafuu hiyo msanii huyo mahiri katika fani ya Uigizaji wa Filam hapa bongo alitupia mpicha mwingine katika akaunti yake ya Instagram @wolpergambe ikiwa na Muonekano wa mtu aliye kuwa na alcohol kichwani mwake kwa muonekano wa nje lakini aliweza kuonisha kuwa si kilevi bali ni Kinywaji baridi kama inavyosomeka hapo chini

clip_image003[8]

clip_image003[11]

Unasemaji mdau Je ni kweli? au janja ya nyani…..?

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post