BSS wiki hii, kama kawa washiriki waliendelea kuonesha vipaji vyao mbele ya majaji wale wale wa siku zote huku waliolikwa wakiwa ni P-Funk Majani and Prof. Jay.
Check Photos za BSS na usikose kuangalia kipindi hicho kinachorushwa kupitia televisheni ya TBC.
ALL PHOTOS BY SLIDEVISUALSSalama Jabir & Prof Jay
Vanessa Mdee
Master Jay & Prof Jay
Sizza & Amina Mshiriki wa BSS
Majaji wa BSS ( Salama, Madam Ritha & Master Jay)
P Funk and Prof Jay