Bale alifungua safari ya magoli kwa timu yake ya Real Madrid mnamo dk ya 14 huku akitupia jingine dk ya 27,Ronaldo alifunga goli la tatu dk ya 32 huku na kuifanya Madrid kuongoza kabla ya Ivan Rakitic kuifungia Sevilla goli dk ya 38 huku C. Bacca akitupia jingine dk ya 40 na kufanya matokeo kuwa 3-2 mpaka mapumziko,
Kipindi cha pili Benzema na Cr7 walitupia goli mbili kila mmoja na Ivan Rakitic akiopatia Sevilla goli la tatu dk ya 63 hivyo kuipa ushindi Madrid wa jumla ya goli 7-3.
Tags
SPORTS NEWS