JE BONGO MOVIE NI MWENDO WA COPY AND PASTE TU?

clip_image002 
JB na Irene Uwoya
Wadau wakubwa wa filam hapa nchini Tunaweza kusaidiana katika hili nimeamua kulileta kwenu ili kushare mawazo kiasi, Wanaoonekana hapo juu ni ma nguli wa sanaa ya filam hapa Bongo. ukiongelea sanaa ya Bongo Muvi huwezi kumuacha msanii JB wala huwezi kumsahau mwanadada huyu IRENE UWOYA,
lakini kilichonifanya niandike kijimakala hiki ni kutokana na wawilihao kubobea kwao katika sanaa hii, nilitegemea hawa wangekuwa wabunifu katika kazi zao kila kukicha wanazozifanya lakini nimakaa na kugundua hakuna kipya ni kama wanarudi katika kile kitu kinachoitwa kopi and paste sasa sijui hii ilikuwa moja ya sababu ya mmoja wao kuamua kutangaza kuachana na sanaa hii kwa kuona hakuna jipya katika tasnia hiyo au ni vipi..
clip_image002[6](Marehem)Steven Kanumba na Irene Uwoya
Hebu tuangalie kwa makini picha hizi na tujadili hizi ni movi mbili tofauti au ni movi moja? na je mmoja alikuwa director na mwingine mwigizaji au ilikuwaje? hili ndilo swali nahitaji mawazo yenu.
MDAU WA FILAM BONGO

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post